Miss chagga, matege lazima niwaletee hii kitu

Miss chagga, matege lazima niwaletee hii kitu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
1414326015243.jpg
 
nipo hapa nakuangalia tu.. yani huku kumenihamisha mmu jaman..

Nafasi bado zipo huku hakuna stress kama kule huku full shangwe tuu, kafichwa wapi leo nanihii!?
 
Last edited by a moderator:
Nafasi bado zipo huku hakuna stress kama kule huku full shangwe tuu, kafichwa wapi leo nanihii!?

stress ziko siasani mkuu.. burudani ya huku nimeigundua juzi kati hapa. kule ujasiriamali nako ni kutamu sana.. karibu mtani

nanihii yupi tena??
 
stress ziko siasani mkuu.. burudani ya huku nimeigundua juzi kati hapa. kule ujasiriamali nako ni kutamu sana.. karibu mtani

nanihii yupi tena??

Jukwaa gani hilo la ujasiriamali?
Namzungumzia yule mpenda shekeli miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom