Miss Chagga kugombea udiwani

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Mwanadada huyu kanidokeza anataka kugombea udiwani katika kata yake kule kijijini kwao. Mimi mwenyewe sitoshi kumshauri mdau huyu maarufu katika jukwaa hili. Ila namuunga mkono kwa wazo hilo, anaweza akapata na UDC baadae.

vipi nyie mnamshaurije.
 
Udiwani wa machangu kambi ya fisi.

swissme
 
Miss Chagga ninayemfahamu mimi ndiye akagombee udiwani, msichana mrembo yule anataka kutumbukia kwenye mambo y kikubwa kama hayo, ha ha ha ha ha ha ha !. Labda ingekuwa ulaya sawa ila siyo hapa kwetu Tanzania mana kifo kinamnyemelea
 
miss chagga atagombea udiwani, Kata ya Kilema, Tarafa ya Marangu, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
Nitamsapoti ila aniambie kwanza atagombea kupitia chama gani?
 
Mwambie agombee Kumpata GENTAMYCINE Kwanza Ili awe mume wake.
Kisha nitampa baraka zote za kugombea huko na atashinda tu.
 
Yesuuuuuuuuu wangu!! miss chagga huyuhuyu!
 
miss chagga mwenyewe juu gamba kiuno gwanda chini kavaa kipedo anaangalia wapi channel itashika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…