Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu
dah mkuu hapo kwenye sauti ni noma aiseee ktk wanawake niliowahi kuongea nao miss chagga sauti yake ni ya kumtoa nyoka pangoni unaweza uza kila kitu aiseee
Nasema humjui miss chagga ni bandidu wa ukweli!! ingia 18 zake atang'oa hadi mataruma acha reli huyo???huuuuwiiii nilielekezwa kuwa huyo ndo miss chaga nilibaki kinywa wazi ila kazuri ila ubaya wake ni gaidi wa kutosha!!
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi yangu I love youuuu