simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,801
- 9,741
Migiro nambari one. My heart melts with joy everytime i see that Afro hair style. Ati what? Ni wig? NO NO NO.
Kumbe Migi ro ni mbunge?
Migiro nambari one. My heart melts with joy everytime i see that Afro hair style. Ati what? Ni wig? NO NO NO.
teh teh tena ni miss ujue miss bunge la jmt
ngoja nimbembeleze mdogo wangu snowhite kama anaweza kuja kukutetea........Labda ni MRS CHI CHI M, kutakuwa na typing error ya mwandishi......hahaha teh
Yàni wale wabunge wote wa vitu maalumu hujawaona? Mimi namkubari kairuki
NA CATHY majige jeeee a.k.a mrs UTALII NA MALIASILI!kwiiiiiiiiii nimesema tu jamani! FP mi sitaki ugomvi na watu! usiwe unaniiita kwenye umbea huu!ule wa kule mtaa wa saba umenogaje sasa!uuuuuihw!
huko mtaa wa saba ndo utadundwa sasa, maana ni live, kwi kwiiiiiiii. ila unajua sijui kinachoendelea? nipe hints basi nikajionee mwenyewe. maana nakusikia tu mtaa wa 7 mtaa wa 7NA CATHY majige jeeee a.k.a mrs UTALII NA MALIASILI!kwiiiiiiiiii nimesema tu jamani! FP mi sitaki ugomvi na watu! usiwe unaniiita kwenye umbea huu!ule wa kule mtaa wa saba umenogaje sasa!uuuuuihw!
huko mtaa wa saba ndo utadundwa sasa, maana ni live, kwi kwiiiiiiii. ila unajua sijui kinachoendelea? nipe hints basi nikajionee mwenyewe. maana nakusikia tu mtaa wa 7 mtaa wa 7
Mie nilijua utataja muhendisamu wa ukweeli Praimu Minista
shauri yako, mi nakuangalia tuuuuuanidunde nani sasa na mi ndo bauncer wao!
ahahahahahhahahahha uuuuiwh!mtaaa wa saba walahi kuchelewi kukuta kachanchuda ka mzee K kamejitaja uuuuuih!NTAPIGANAJE SASA!
shauri yako, mi nakuangalia tuuuuu
!eti wanasema yeye na tyson ni toka nitoke!