Misri yasema HAMAS ni kundi lisilo na haja ya amani, na halipo kwa maslahi ya Wapalestina

Source ni Jerusalem post!?..haishangazi,waliopo madarakani arabuni wengi vibaraka,kinachofanyika Leo na misri kisingefanywa rais angekua yule daktari wa brotherhood aliyepinduliwa na jeshi na kufia gerezani

Alikua na mlengo wa kigaidi na ndio maana akafurushwa madarakani na kuwekwa kizuizini.
 

View: https://x.com/TheHarrisSultan/status/1759223223043109151?s=20
 
Misri tangu kale ni kibaraka wa USA, UK..ndiyo maana Nasir alidunguliwa baada ya kuamuru majeshi yasisonge mbele kwenye Vita dhidi ya miungu yako ya isre

Umeona ilivyokuwa na amani,kuliko yale magaidi ya brotherhood yaliyokua yanaua wakristo,https://jamii.app/JFUserGuide u magaidi.
 
Kila mtu ameachoka na hayo maugaii ya dini yenu, sasa hivi Misri inawaza jinsi ya kutatua matatizo ya ajira kwa vijana wake na issues za ndani.
Wazee wa allah akbar lile baya,zuri wao ni allah akbar wakibanwa utasikia ni marekani anahusika yaani itikadi yao ya kinafiki sana!
 
Uharo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…