HUKUMU YA BADIE: Mahakama Misri yamhukumu kiongozi wa Muslim Brotherhood, M. Badie, wafuasi 36 kifungo cha maisha. Yathibitisha adhabu ya kifo kwa wafuasi 10.
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.
Lakini kumbuka hiyo hukumu imetolewa na waislamu wenzao wala sio wakristo waliotoa hiyo hukumu.
Tiba
Hata wewe kafiri mutabaruka utakufa tu.....na ukibaki na ukafiri wako fii nari jahannama khaalidina fiyhaa.
Wafuasi wa mwamedi wanapelekana jehanam kwa style mbAlimbali, ila hAwajioniHata wewe kafiri mutabaruka utakufa tu.....na ukibaki na ukafiri wako fii nari jahannama khaalidina fiyhaa.
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.
Na wala sijasema imetolewa na wakristo.muislam hawezi kumuhukumu muislam mwenzie bila kutumia quran .hata kama aliyetoa hukumu ni muislam jina kama hatumii quran hukumu si halali .
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.
Nchi za Magharibi zilitengeneza mazingira ya kunyongwa Saddam, na wajinga wakatekeleza hilo leo Iraq nchi ya asali na maziwa imekuwa nchi ya damu na mauti. Vivyo hivyo Libya America iliamuru auwawe na wakamsodomize na kumuua kikatili leo Libya haikaliki haitawaliki, utajiri aliouacha saddam haujulikani ulipo. Sisi baada ya kuingia madarakani ameshaanza kufanya makosa mabaya. Kama atawanyonga kwa interest za magharibi au Israel nchi italipuka. Na kama ilivyo Iraq na Libya hata Misri watakaosumbua sio Brohood bali makundi mengine ambayo yamejifunza kutoka serikalini kuua ruksa.
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.