yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,410
Ficha ujinga wako, hujui hata unachoongea. Bora ukae kimya.
Ukimprovoke mtu bila kuuonesha ujinga wake wewe ndo unakuwa mjinga
Ficha ujinga wako, hujui hata unachoongea. Bora ukae kimya.
Ukimprovoke mtu bila kuuonesha ujinga wake wewe ndo unakuwa mjinga
Misri ni nchi yenye historia ndefu toka enzi za Mussa na Farao, miaka ya 1967 nchi sita za waarabu ikiwepo Misri ziliungana kuipiga Israel lakini zilichakazwa vibaya ndani ya wiki moja. Kitu kilichoishangaza Misri hadi kufikia kuingia mkataba wa kutopigana kamwe na Israel. Kinachonifurahisha ni jinsi wamisri walivyoweza kutuliza machafuko nchini mwao, walivunja Chama cha Muslim brotherhood, hukumu ya kunyonga watu 500 akiwemo raisi aliyepita Mohamed Morsi. Morsi amehukumiwa kunyongwa kwa kuleta fujo kwa kushirikiana na makundi ya nje kama hesbolah, hamas, lebanon na Iran.
Nchi nyingi za kiarabu zilishindwa ustaarabu huu na kuishia mauaji na uharibifu, ikiwa pamoja na Libya, Syria, Iraq, Somalia, Yemen, Bahrain. Saudi Arabia pia inafuata mkondo wa Misri kwa kutwanga magaidi kwa ndege huko Yemen
Asiyejua maana usimwambie maana.
Ingekuwa hivyo You tube tutorial na shule zisingekuwepo
Bado hujaelewa tu!!! Asiyejua maana usimwambie maana.