Wewe mzee umese.ma jina la Kaundime umenikumbusha mbali sana .
Nilowahi date na kademu ka kuitwa kaundime kutokea Dodoma , sasa kalikuwa kanaosoma UDSM miaka hiyo wakati nakapiga paipu kalikuwa kanataja malecturers wa kozi zake sijui ilikuwa ni nini ?
Ila all in all kalijua kunipeleka msobemsobe kunako 6×6