Misosi mingine kukomoana tu

hii hata minyoo yangu haijashituka...na wale tu!
 
Nitakula ugali samaki tu hapo, ngoja nitafute ndimu na pilipili
 
Mbona msosi freshi tu,kama mboga zingewekwa kwenye bakuri ya kioo,na ugali ungepigwa danadana usingelalamika hapa
 
Sipati picha wakati wa kuPEEEE! mzigo utakuwa mgumu balaa.
 
Duh hii misokoto nakumbuka da last time tulikua tukiinunua Tsh 200/ cjui sasa hii kitu ina bei gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…