MISINGI YA NDOA !! Zingatia!!!!!

Ukimpenda utamheshimu, utamjali, utamlinda na ndoa yenu itadumuwazima.. Maamuzi ya watu wawili wazima kuishi pamoja kwa maisha yao si ya lelemama uvumilivu ni muhimu
 
Hapo umenena kuweka udhaifu wa mwenzio hadharani ni hatari hata humu JF ni hadharani kuzisema humu hautatofautiana na wale wanaosema huko vijiweni

ingekuwa hivyo usingepata cha kuchangia humu..........
 
mimi ndo maana huwa nakuambia kuna watu wana vipaji vya ku seduce yaani at education level wana PHDs sijajua aliwezaje kumvua wito ngoja tumuulize...... nina wasiwasi na yeye alijifanya padre au sijui brooder......?
cc Mentor

cc mwallu
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahha ndugu yangu sungura1980 haya mambo ya ndoa yangu nani kakwambia uyavujishe mtaani pasipo ruhusa yangu. Baba mkubwa Kaizer naomba uchukue disciplinary measures kwa huyu bwana mdogo
 
Heshima kwako mtoa mada am goin' for implementation.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…