Misingi kumi ya ACT-Tanzania

Misingi kumi ya ACT-Tanzania

kailakarama

Member
Joined
Aug 30, 2014
Posts
73
Reaction score
30
1.UZALENDO
2.Usawa
3.Uadilifu
4.Uwazi
5.Uwajibikaji
6.Demokrasia RASILIMALI
7.Hifadhi ya jamii
8.Utu
9.Umoja wa Afrika
10.KUJITEGEMEA,bidii na weledi katika kazi
 
1.UZALENDO
2.Usawa
3.Uadilifu
4.Uwazi
5.Uwajibikaji
6.Demokrasia RASILIMALI
7.Hifadhi ya jamii
8.Utu
9.Umoja wa Afrika
10.KUJITEGEMEA,bidii na weledi katika kazi

11. Kutumia fedha zetu wana CCM kwa lengo la kudhoofisha upinzani
 
1.UZALENDO
2.Usawa
3.Uadilifu
4.Uwazi
5.Uwajibikaji
6.Demokrasia RASILIMALI
7.Hifadhi ya jamii
8.Utu
9.Umoja wa Afrika
10.KUJITEGEMEA,bidii na weledi katika kazi
Hakuna kipya!!! Haya yote na mengine zaidi ndiyo yanayosimamiwa na CHADEMA.
 
Hawa jamaa niliwaona no wapumbavu sana kule Arusha ilipo Ofisi ya CHADEMA Arusha vijijini chumba kinacho fuata ACT wamefunguo ofisi yaani ni full utoto. Hamuwezi toka kwa staili za kushindana na chadema na mmeisha shutukiwa.
 
ACT kimejengwa kwa misingi ya ulaghai.
 
Misingi Mikuu ya act ni pamoja na USALITI,UMAMLUKI,UCHUMIA TUMBO,UCHU WA MADARAKA NA......?
 
Mtaishia humu humu JF Tu. Sijawahi kuona wala kusikia ofisi au mwanachama wa ACT katika mkoa ninaoishi.
 
Misingi Mikuu ya act ni pamoja na USALITI,UMAMLUKI,UCHUMIA TUMBO,UCHU WA MADARAKA NA......?

mbona umeniwah mkuu, umeiba post yng, ila poa umenisaidia. Hizo ndizo sifa kuu za Act, zingine ni mbwembwe tu
 
Aka Kajichama Ka Maajabu Sana Kanasifiwaga Na Wakuu Wa Ufisad Apa Nchin Kanapigiwa Promo Mpaka Bungen Sas Sijajua Kamekuja Kupambana Na Jinyama Ccm Au Na Wazalendo Sie
 
1.UZALENDO
2.Usawa
3.Uadilifu
4.Uwazi
5.Uwajibikaji
6.Demokrasia RASILIMALI
7.Hifadhi ya jamii
8.Utu
9.Umoja wa Afrika
10.KUJITEGEMEA,bidii na weledi katika kazi

11. Unafiki
12. Ndoa na CCM ya milele
13. Usaliti
14. Tabia za fisi(Kudhani mkono wa binadamu unakatika, yaani kudhani CHADEMA inakufa wanaviziavizia tu).
15. Ongeze yako, jamaa wana misingi mingi sana kulingana na katiba yao ambayo ni UNWRITTEN.
 
Mamluki hao , Lwaitama huwaita Comprador Burgeoise .......eti vibwanyeye Mamluki ......
 
1.UZALENDO
2.Usawa
3.Uadilifu
4.Uwazi
5.Uwajibikaji
6.Demokrasia RASILIMALI
7.Hifadhi ya jamii
8.Utu
9.Umoja wa Afrika
10.KUJITEGEMEA,bidii na weledi katika kazi
Haya yapo kwenye Katiba pendekezwa... Chama chochote kitalazimika kifuate...
 
Back
Top Bottom