Hatari sasa na walivyo na hisia kali za kugundua mfulio wanaweza wakakunusa tu wakajua hamna kitu huyu mtu siku hizi.Mecury, Haupo peke yako, Tupo Wengi tulioporomoka Mkuu, Inafikia Wakati Unajiuliza hivi Mimi ndo Yule Fulani,. Unapigwa Nyege Mpaka Unazikumbuka Mbunye ulizokua unazikwepa Zamani.
Pole sanaa mkuu.Asee sijamlilia mtu isitoshe sijaomba msaada wa aina yoyote kwa mtu kwenye huu uzi, nilichofanya ni kama therapy flani hivi kupunguza machungu yangu.
Sio kutokua na akili lakini ni makosa ambayo vijana wengi tunapitia, & by the way tunajifunza kupitia kupitia makosa.Kama mawazo yako ni kutaka kuwa na hela ili ufanye starehe,kuwa na mademu wanaojiuza na kuvaa ili watu wakuone hata upewe 1 USD billion kesho tu utakua tena masikini......pole sana kwa kutokua na akili
Sent using Jamii Forums mobile app