Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,122
- 4,174
Sio kwa nia mbaya au kuingilia imani za watu lakini noise pollution inayotokana na makanisa, na misikiti imeshakuwa janga kubwa kwenye nchi hii. Swali ni moja, ni kwanini mataifa yalioleta dini huku hawatumii approach yetu?
Wao kwenye nchi zao wapo kimya kabisa wanajua madhara ya noise pollution hasa kwenye afya ya binadamu, kwanini sisi hatutambui hilo?
Kuna haja gani ya kutaka kila mtu asikilize kile mnachokisema msikitini au kanisani tena kwa kupaza. Ombi langu kwa NEMC ni muda sasa wa kuwafungulia kesi watu wote wanaofanya hivyo ili tuweze kuishi kwa amani katika nyumba zetu.
Mtu kaamka saa kumi usiku ati Kula daku kula daku mwingine anapiga guitar sauti kali mida ya saa tisa.
NEMC chonde chonde tusaidieni na hawa watu.