1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 438
- 1,752
Mzee Mwinyi amefariki dunia jana, Leo anaagwa kesho anarudi kwa muumba, nimependa sana hii.
Itifaki sio kiviiiiile.
Itifaki sio kiviiiiile.
Kesho anarudi kwa muumba kivipi?
Mtu anarudi kwa muumba punde tu roho ikiachana na mwili na sio anapozikwa.
Ukitaka usirudi kwa muumba inamaana usizikwe.Kila mtu na Imani yake
Kashazikwa mkuranga hapa ni kukamilisha itifakiIlibidi azikwe leo
Kwahyo Unguja wanaenda kuzika Nini Mkuu??Kashazikwa mkurunga hapa ni kukamilisha itifaki
Ukitaka usirudi kwa muumba inamaana usizikwe.
Kwa imani yako hawajafika kwa muumba wao?Vipi wanaozama majini, kuliwa na wanyama wakali, kuwa vaporized vitani au kupotelea kusiko julikana?
Sema kesho anarudi udongoniKesho anarudi kwa muumba kivipi?
Mtu anarudi kwa muumba punde tu roho ikiachana na mwili na sio anapozikwa.
Ooohoooo hayo nimakubwa sasaKashazikwa mkurunga hapa ni kukamilisha itifaki
Kwa imani yako hawajafika kwa muumba wao?
Na wametumia fursa vizuri ya utaratibu wa Dini/Iman ya kiislamu kutokuonesha sura ya Marehemu,kule unguja tunaenda zika sanduku tupu la mbaoKashazikwa mkurunga hapa ni kukamilisha itifaki
Na wametumia fursa vizuri ya utaratibu wa Dini/Iman ya kiislamu kutokuonesha sura ya Marehemu,kule unguja tunaenda zika sanduku tupu la mbao
Sisi wakristo mbwembwe nyingii
Ova
Ni swali boss.Wapi nimeyasema hayo ya pre-conditions za kufika kwa muumba, ndugu?
MgombaKwahyo Unguja wanaenda kuzika Nini Mkuu??