DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 2,380
- 1,566
Hakuna andiko limekataza wakristo kuzika wala kutozika ndani ya muda fulani.
Hizi ni tamaduni tu. Kumbuka jangwani kuna joto hivyo maiti iliwahi kuoza so waarabu wakawa wanawahisha kuzika kukwrpa adha ya maiti kuoza.
Usipotoshe watu, tafadhali