na hapo ndipo utaona unafiki wa binadamu pale ndugu wa karibu anajitokeza kusema kuwa chakula cha msiba juu yake lakini kipindi cha ugonjwa hakuchangia hata senti. Binadamu tumepotoka kiasi kwamba thamani ya utu imehamishiwa kwenye ufu. Utachangiwa na kuthaminiwa pale tu utakapokufa na si ukiwa hai.kinachoniumiza ni pale mgonjwa alikosa hela ya matibabu ikapelekea kifo aisee acha tu
Point.... Anguko la wengi ni kutaka kuridhisha mitazamo ya binadamu kusahau ya kuwa anaekusifu kwa ufahari ndie huyo huyo atakaekunanga kwa ufukara.Kupanga ni kuchagua,the best thing ni kwamba hakuna anayekulazimisha kuchagua unachochagua,neno langu hapa ni moja tu...FAHARI NI MAMA WA UJINGA.
inaumiza sana any way ndiyo waliyoyachagua hayona hapo ndipo utaona unafiki wa binadamu pale ndugu wa karibu anajitokeza kusema kuwa chakula cha msiba juu yake lakini kipindi cha ugonjwa hakuchangia hata senti. Binadamu tumepotoka kiasi kwamba thamani ya utu imehamishiwa kwenye ufu. Utachangiwa na kuthaminiwa pale tu utakapokufa na si ukiwa hai.
pale siyo kwamba wanamthamini sana marehemu, ni njia ya kujjionyesha uwezo na kutafuta sifa.na hapo ndipo utaona unafiki wa binadamu pale ndugu wa karibu anajitokeza kusema kuwa chakula cha msiba juu yake lakini kipindi cha ugonjwa hakuchangia hata senti. Binadamu tumepotoka kiasi kwamba thamani ya utu imehamishiwa kwenye ufu. Utachangiwa na kuthaminiwa pale tu utakapokufa na si ukiwa hai.
Misiba siku hizi Ina Kamati za Mapambo,muziki,vinywaji na vyakula,sare za wafiwa,MC,Video na Picha,Maturubai na Viti,Jeneza na gari la kubeba mwili ...n.k.
Gharama ya shughuli nzima inaweza kufikia mamilioni ya shilingi.
Ilhali misiba ya zamani ilikuwa ni mikeka,waimba kwaya,majirani kujitolea kupika,maturubai yalikuwa yanatolewa bure,jeneza hutengenezwa kwa gharama nafuu...n.k.
Kupanga ni Kuchagua.