Mishahara ya walimu na viwango vya elimu yao(mwalimu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya walimu na viwango vya elimu yao(mwalimu)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mchafukobe, Sep 26, 2012.

 1. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Naombeni kufahamu mshahara anaolipwa mwalimu mwenye
  *certificate

  *diploma

  na

  *degree
   
 2. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Inakupasa hufanye research ndugu maana

  au kama vp walimu watoe data hapoo

  mjadala ufungwe maana daah,

  hii nakupa roughl au kwa zaman flan nilivyokuwa nafaha

  *certificate = 250,000/=
  *diploma = 300,000/=
  *degree = 400,000/=
   
 3. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Oya wakuu thread kama hii ipo jukwaa la nafasi za kazi nendeni kule mkasearch mtaikuta..
   
 4. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  i.5kb
  degree ni 532,000= basic salary
   
 5. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,824
  Likes Received: 2,440
  Trophy Points: 280
  nipo mwka wa pili kazini diploma basic yangu ni 378000 take home ni 312000
   
 6. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  10x ma great thnker
   
 7. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ualimu ni janga la Taifa
   
 8. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kaka una akili utafikiri mchwa, ni kweli kabisa
   
 9. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,204
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  mkuu miaka 2 imetosha,nenda kasomi pz,utazeeka na hyo chaki ohooo!
   
 10. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  dah serikali inawapunja walimu yaaani 312,000/-,yaani hata polisi formfour bila ujuzi amemzidi mwalimu kwa mapato lazma walimu wagome ili wasiendelee kundi lisilo na maslahi
   
 11. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Hivi mkisema basic salary mnamaanisha gross package au?
  Vp kuhusu house allowances, medical,airtime, transport allowances etc,
  maana hizo allowances zina mchango wa kuongeza mshahara
   
 12. o

  obwato JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Usijifanye sio mtanzania na si vizuri kuwakejeli waalimu, Mungu akikupa kikubwa mshukuru na uwatazame kwa jicho la huruma walio chini. Ki ukweli hawatendewi haki lkn watafanyaje? Walijaribu kufurukuta mkuu wa mbayuwayu kawabana mahakamani. Wanapaswa wajikomboe kwa kubadili system wasiendelee kuruhusu kanga, fulana na skaf ziwatese kwa miaka mi5 mingine.
   
 13. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  hivi kwa nini unafikiri walimu hawataki kuacha ualimu japokuwa mshahara mdogo kwa walimu wa sasa ni raha tupu unafanya mishe zako unavyotaka likizo unajipa mwenyewe ni kazi gani ya serikali au private una chance ya kuondoka bila ruhusa muda unaotaka na usiulizwe walimu wengi kwa nchi hii wana nyumba zao japokuwa mshahara mdogo na mikopo walimu siku hizi wengi wamejiajiri wanaendesha tax,bodaboda nani mwenye hasara na watoto wao wengi wanasoma shule nzuri tu
   
Loading...