Mishahara ya wabunge itathminiwe upya

Katika mambo haya ya msingi wana mshikamano wa kutisha. Hutamsikia kubenea wala maji marefu.

Njaa haina Baunsa, watu wanatetea matumbo yao! linapokuja hilo suala nadhani huwa napata tatizo la color Blindness maana huwa nashindwa kutofautisha Rangi ya kijani na Kaki, naona zote zinafanana.😀😀
 
Acha ujinga wewee

We ndo punga. Tz ina Hela gani. Watu mil 55 karibu. Unadhani wanaishije. Wanalipa kodi. Nchi yako ni ya third World .au nyie ndo wakina MUgabe unataka utengeneze Hela zako mwenyewe. Man you are in Tz. Hela hakuna. Na acha siasa kwamba labda angekuwa mbowe zingetosha. Mada hii huipendi kwa kuwa nyie ni watoto. Baba hakosei. So ni siasa ya Kutukana CCM tu ndo unaijua. Ungejinwaga hapa. Kama uharo
 
hoja yako nzuri ila tunarudi kule kule kwenye katiba,kitu ambacho walengwa hawataki kukisikia kabisa
 
Rasimu ya Jaji Warioba ilikuja na kipengele wezeshi kwa wananchi kuwaondolea mbali wabunge wasiotumika vyema. Kilipita? Au walikiraruararua mara moja? Je hawa ambao tunaamini wana afadhali kuliko wale wa CCM walisema nini zaidi ya kulilia serikali tatu(mfumo wa ulaji kwa wanasiasa)
 
Typical mswahili.Kwanini usishinikize mishahara ya watumishi ipande ili ifanane na ya wabunge?

mkuu....hata mafisadi wasisemwe....itakuwa na sisi tuibe, wewe ndio mswahili

hela ya kuwalipa iko wapi?

wabunge ruzuku na machaguzi ya kipuuzi puuzi yanamaliza hela yako wewe, na hivi unaishi chumba cha kupanga...ndio unaumia maradufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…