Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

Hii ni 2018, leo 2025 salary bei gani?
 
Hii ni 2018, leo 2025 salary bei gani?
3 years degree..m1.6+
4 years degree ..m1.7+
Masters m2.5+
PhD m3.5+
Hiyo ni salary ambayo inaongezeka kila mwaka kwa academicians...kuna trainings, extra duty n.k kutegemea na chuo chenyewe
Hakuna attendance, utafika ukiwa na kipindi...
Kujiheshimu ndio muhimu zaidi...mtaani mpk chuoni
 
Asante
 
Asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…