mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mishahara mipya ya walimu na watumishi wengine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bulah, Jul 19, 2012.

 1. B

  Bulah JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamani kwa anayejua mishahara mipya baada ya kuongezwa au ni asilimia ngapi iliyoongezwa mwezi huu wa saba atujuze au mwenye waraka

  nawasilisha...
   
 2. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Tulia; ndio macalculation yanafanywa usije wafanya waghairi bureee!
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,315
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Nadhani mkuu hata huo waraka unaweza usikusaidie kimeongezwa kidogo ili watumishi wote walipe kodi. Yaani lengo kila mtumishi alipwe kuanzia 170000 halafu akatwe kodi.
   
 4. B

  Bulah JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mmh....!!! siasa ndo zenye hela... dawa kujiunga tu
   
 5. Sibhonike

  Sibhonike Senior Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndio serikali ya HB...
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  we ongeza 20% ya mshahara wa awali utapata jibu. ongezeko hili ni kwa wale wakuanzia kima cha chini. ongezeko litazidi kupungua kadri mshahara unavyozidi kuwa mkubwa lakini ongezeko halitapungua 15% na halitozidi 20% hivyo mahesabu yanacheza hapo.
   
 7. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kidundumila, Asante kwa ufafanuzi mzuri.
   
 8. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nasubiri,nione miujiza.
   
 9. SOLOMO

  SOLOMO JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haiwezekani Watanzania wahangaike huku na kule kutafuta Waraka wa mishahara ambayo ni haki yao kufahamu na kuweza kupanga bajeti za maisha haya magumu kama chuma! Mimi naona Serikali yetu ni kama Punda aliyekufa :deadhorse:sasa watanzania tunajaribu kumpiga viboko ili atembee! Yeyote aliyefanikiwa kupata waraka huu atusaudue wana JF tafadhali!
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Subiri mwezi wa serikali
   
 11. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Well said! Thanx
   
 12. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kwa mwendo huu,lazma wengne wafie njiani,na tutakaofika tutafka tuko hoi hae
   
 13. M

  Massawe G. I Senior Member

  #13
  Jul 4, 2013
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Fakama
   
Loading...