Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Kashata Ni Kweli Kabisa Hawa Jamaa Wasituonee Donge Walimu
 
vyovyote vile na itakavyokuwa na bila kujali lolote lile na hata iwe nini watakachopata poaaa tu
 
Yupo sawa ndio hivo ongezeko n 13.38% na 13.3% kwa walimu n 13.3%
 
Duh! kumbe nilichagua chaguo sahihi! sio mbaya kwa wiki na vipindi viwili kwa hii pesa? mbona poa tu
 
Kumbe walimu wako poa mchele unawapa wanafunzi homework watafute kwa ajili ya practical, sukari chai unahahirisha siku za kazi. Wale Wa bodi ndo poa sana unagonga msosi na wanafunzi. Mtanenepa wenzetu ila inflation nayo! Hukijiloga ukanywa bia ujue tiyari,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…