Wewe unadanganya! Haijapata kutokea na haitatokea asilimia ya makato ya mishahara kwa grade C1, D1, E1 pamoja F1 kufanana. % ya makato yatakayofanana hapa kwa grade zote ni tu kwa makato ya cwt ambayo ni % 02, Pensheni ambayo ni % 05, pamoja na hiyo unayoita ni Insurance ambayo ni % 03. Makato haya yatafanana kwa level zote yaani B hadi H. Lakini makato ya Income Tax ni lazima yatofautiane kipasenteji. Na unvyozidi kupotosha B1 cwt amekatwa zaidi ya % 02. Mkuu ungeacha kupotosha watu, nafikiri usingepungukiwa na chochote. Kikubwa unatafuta umaarufu tu.