Mishahara katika Bank kwa Graduates

Mishahara katika Bank kwa Graduates

jopama

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6
Reaction score
1
Naomba nikumbushwe watu wenye degree wanalipwaje katika Bank especially, NMB, NBC, Bank ya Posta, etc. Najua huu uzi ulishawahi kuwekwa humu ila naomba mnikumbushe tu waungwana.
 
Haizidi laki 5,kwa yule anae anza kazi.
 
Kila benki wana viwango vyao. Ila ni kati ya 500,000 hadi 800,000/=.
 
Sijuhi ila nahisi kilo 6 mpaka kilo 8 kulingana na kitengo kuna watu wanakula 2.5m
 
Back
Top Bottom