Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Karibu tembelea hii link uone Serikali inataka mishara ilipwe .
http://www.dol.go.tz/news/new_wages.php
http://www.dol.go.tz/news/new_wages.php
Sijaribu kuwa "kifimbo cheza" lakini neno sahihi ni "inapaswa"."Kupasha" sehemu yake ni kama katika kupasha moto, kupasha habari etc....