Mishahara: Halmashauri ipi tayari?

Acheni ujinga,tuwalipe mapema hela ya kununua Tafiti tutatoa wapi.subirini kwanza kumalizane na REDET,Twaweza wenyewe wanadai karibia robo ya makubaliano
 
tabora bado,ccm hatat nlizan n za wastaafu tuu kumbe ndo na mishahara yetu?,kwel wamechoka watupishe
 
Hapa rungwe wengine wameingiziwa wengine hakuna kitu watumishi wamebaki wanaduwaa tu
 
CCM wapo bize kulipa wenye magari kahama waliopanga kuandamana baada ya kuzungushwa kwenye malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…