Misemo ya Palamagamba Kabudi..The lawyer.The learned brother!

Misemo ya Palamagamba Kabudi..The lawyer.The learned brother!

Tuwrke misemo ya waziri mpya wa sheria na msomi mwalimu wa sheria hasa baada ya kupewa wadhifa wa uwaziri wa sheria.

Nitaanza na msemo wake akiwa bungeni....wengine tuweke misemo yake akiwa anafundisha chuo.

"We Spoke when the law was law...we spoke when The president was The president"(In the parliament april 2017)
Daaah jingalao huu msemo nimeurudia mara tatu kusikiliza na nilitamani kuuanzishia uzi...daaah huyu jamaa nimemvulia kofia...don't dare me!!!
 
Hili siyo suala la kichama.walikaa wakatumia zaidi ya Bilioni miamoja kuanzisha mchakato wa katiba kwa vyama vyote.
Inashangaza kuona si kitu cha msingi kwa sasa.

Ila si unajua awamu ile pesa labda zaidi ya nusu au two-thirds waliitafuna kiufisadi.

JPM alijibu hilo alipoita mapaparazi ikulu kuwa ni swala la bungeni, ndio maana nimekuambia wanao wakilisha wananchi inawabidi walisukume. Tabu ni kwamba wapo busy na kuangalia maslahi yao yaliyogandamizwa na Kiongozi jembe Mh. Makonda kumtaka aondolewe kwasababu amekaza kamba haswa.

Aminia Hapa kazi tu tutafika
 
Huyu profesa anatakiwa kujibu maswali siyo kuleta riwaya ndefu na historia. Ameulizwa lini ataendeleza mchakato wa katiba mpya na kwa nini katika bajeti yake hakuna pesa iliyotengwa kwa ajili ya mchakato wa katiba hiyo. It was a straightforward question which require a straightforward answer! As simple as that no one is interested on constitution background history of what Nyerere/constitution did in 60's or 70's or what he didn't etc.. He still got 'Old School' mentality we are in 2017 we need that new constitution please!!!
 
Ila si unajua awamu ile pesa labda zaidi ya nusu au two-thirds waliitafuna kiufisadi.

JPM alijibu hilo alipoita mapaparazi ikulu kuwa ni swala la bungeni, ndio maana nimekuambia wanao wakilisha wananchi inawabidi walisukume. Tabu ni kwamba wapo busy na kuangalia maslahi yao yaliyogandamizwa na Kiongozi jembe Mh. Makonda kumtaka aondolewe kwasababu amekaza kamba haswa.

Aminia Hapa kazi tu tutafika[/QUOTE
Habari zako.sina imani na CCM kwanza rais anajichanganya kauli zake.mwanzo alisema atahakikisha mchakato wa katiba unakamilika.kuna siku tena akasema katiba mpya si kipaumbele chake. Inashangaza sana.
 
Nionavyo IQ yake siyo ya kuwa Bungeni bali ni ya kuwa Chuoni ili aweze kutupikia akina Palamagambas wengi watakaokuja kuisaidia nchi hasa katika Masuala mazima ya Sheria na Katiba ila kwa bahati mbaya sana na Yeye kaingia katika Ugonjwa ule ule walioupata Wanataaluma Waandamizi wenzake.
Kula tano jeshi langu!
Siku zote we unasemaga ukweli

Ova
 
Mbona mle bungeni anawanafunzi Wengi ata lisu nimwanafunziwake.
 
Mbona mnaye msomi Tundu lisu hajawai Kemea tabiaza ukiukwajiwa Sheria, kanuni,zifanywazo na DJ. Mojawapo
likiwa kuwaweka kinguvu wenye Viti wa kanda mbalimbali Za Chadema.
Angalia alivyopatikana mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini mheshimiwa Msigwa.
 
Tuweke misemo ya waziri mpya wa sheria na msomi mwalimu wa sheria hasa baada ya kupewa wadhifa wa uwaziri wa sheria.

Nitaanza na msemo wake akiwa bungeni....wengine tuweke misemo yake akiwa anafundisha chuo.

"We Spoke when the law was law...we spoke when The president was The president"(Kabudi in the parliament april 2017)

he meant it! haikuwa rahisi kumsema Nyerere kwa lolote lile
 
Mchuzi wa mbwa mwitu hunywewa ukiwa wa moto
 
Back
Top Bottom