Misemo ya Palamagamba Kabudi..The lawyer.The learned brother!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,155
29,677
Tuweke misemo ya waziri mpya wa sheria na msomi mwalimu wa sheria hasa baada ya kupewa wadhifa wa uwaziri wa sheria.

Nitaanza na msemo wake akiwa bungeni....wengine tuweke misemo yake akiwa anafundisha chuo.

"We Spoke when the law was law...we spoke when The president was The president"(Kabudi in the parliament april 2017)
 
Tuwrke misemo ya waziri mpya wa sheria na msomi mwalimu wa sheria hasa baada ya kupewa wadhifa wa uwaziri wa sheria.

Nitaanza na msemo wake akiwa bungeni....wengine tuweke misemo yake akiwa anafundisha chuo.

"We Spoke when the law was law...we spoke when The president was The president"(In the parliament april 2017)
Kapeleka misemo bungeni huyo.hana jipya.
 
Tuwrke misemo ya waziri mpya wa sheria na msomi mwalimu wa sheria hasa baada ya kupewa wadhifa wa uwaziri wa sheria.

Nitaanza na msemo wake akiwa bungeni....wengine tuweke misemo yake akiwa anafundisha chuo.

"We Spoke when the law was law...we spoke when The president was The president"(In the parliament april 2017)

Nionavyo IQ yake siyo ya kuwa Bungeni bali ni ya kuwa Chuoni ili aweze kutupikia akina Palamagambas wengi watakaokuja kuisaidia nchi hasa katika Masuala mazima ya Sheria na Katiba ila kwa bahati mbaya sana na Yeye kaingia katika Ugonjwa ule ule walioupata Wanataaluma Waandamizi wenzake.
 
Watanzania misemo yake inatusaidia nini.? Watanzania mnapenda kushabikia mambo ya kipuuzi sana. Atuambie katiba ya wananchi tunaipata lini hizo mbwembwe nyingine awapelekee wanafunzi wake
atakueleza misingi ya katiba ya wenyenchi
 
Kwa wanafunzi wake tuweke misemo yake...QUOTES QUOTES QUOTES
 
Watanzania misemo yake inatusaidia nini.? Watanzania mnapenda kushabikia mambo ya kipuuzi sana. Atuambie katiba ya wananchi tunaipata lini hizo mbwembwe nyingine awapelekee wanafunzi wake

Mtume mbunge wako akamuulize hilo swali.
 
Huyu waziri muda si mrefu atatishiwa kufukuzwa chama cha wanasheria oohooo amuulize mwakyembe
 
Back
Top Bottom