Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

Kwa vijana wa vijiweni-Duh… wakubwa wanafaidi.
Huyu ukiwa nae pressure tu hizo za
kujitakia-vijana wengine kijiweni.
maradhi hayo-wazee kibarazani. Kwa mtindo huu Ukimwi
hautaisha babake-dereva taxi.
Dada kweli wewe ni mzurii… ngoja nikatafute pesa nitajirike
nitakutafuta-mbeba tenga kichwani.
Shemeji leo kaka kakuachia utembee kwa miguu?
Mamaaa!-haka katoto naona ndio kame balehe. Weweeeee!-kijiwe kingine.
Hao hata kwetu wapo hao! Dada mambo?
Uongo kazi umependeza! Na miruzi.
Ilifika time nikawa natabasamu hata sikumbuki mengine. Mwaaaaah! I feel SEXY! :A S-heart-2:

Hivi yule bosi ulishampa kiboksi-manyoya chako? Hayo ndio madhara ya kuzaliwa na kukulia NJIRO. Kusomea Kenya na Uganda na Kufanya kazi Naura Spring.
Cha ajabu nini Erotica?

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Erotica, hiyo kazi mbona siiwezi. We ushawahi kula kwa macho? Mi akuuu....chiwezi bwana wewe...labda kazi ya kula tena kwa nafasi hapo nikaribishe.


sina hakika kama hii post ndio ya Ndahani aliyegoma kuwa kirusha roho :thinking:
 
Last edited by a moderator:
Hivi yule bosi ulishampa kiboksi-manyoya chako? Hayo ndio madhara ya kuzaliwa na kukulia NJIRO. Kusomea Kenya na Uganda na Kufanya kazi Naura Spring.
Cha ajabu nini Erotica?

Ndimi Bazazi!


teh teh teh. sijui umetowa wapi wazo kuwa nimeshangaa na kuona ajabu.
 
teh teh teh. sijui umetowa wapi wazo kuwa nimeshangaa na kuona ajabu.
Erotica! Katikati ya mistari ya uzi wako. Nimezaliwa kijijini, nikakulia TMK-Kwa Kindande, Sec pale Dabanga Camp nk nk nk.
Maneno au Visifa hivyo ni vya kawaida kabisa kwetu kwa binti/manzi/demu/kidenishi/mtoto/mrembo///// mrembo kusifiwa hadharani.

Bahati mbaya ni moja ya tabia nilizoshindwa kuziacha kabisa, KUSIFIA UUMBAJI wa YEHOVA Mungu na usanii wa Binti katika kuusadifisa uumbaji. Ni kumuambia tu kuwa umependeza na u mrembo wa haja. Tofauti ya wakati wa teenage na sasa ni kuwa; Ninakuambia ukiwa karibu yangu but back then I/We used to SHOUT LOUD.

Ndimi Bazazi! Mrembo Erotica. Nid tu sei moo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom