Hata mimi huwa sielewi madhumuni yakeUnafiki wa kwanza huo. Mtu si aseme tu nini kinamkera
Ni woga na unafikiImekuwa ni mazoea/tabia kwa baadhi ya watu wanapotaka kujenga hoja ya kusifia/kupongeza/kutetea mojawapo ya hizi timu wanatanguliza huo msemo. Ni kwanini eti?
Hawajiamini ama wanatengeneza mazingira ya kuaminikaImekuwa ni mazoea/tabia kwa baadhi ya watu wanapotaka kujenga hoja ya kusifia/kupongeza/kutetea mojawapo ya hizi timu wanatanguliza huo msemo. Ni kwanini eti?