1.Kuku kuku jogoo jina.
2. Kusu chako hakikati usiniharibie nyama
3. Samaki mmoja akioza usimtupe, mtafutie viungo ukaushe.
4.Ukipenda boga, ngoja mwezi wa ramadhani utapata
5. Jambo usilolijua nenda ka google.
6. Kika ndege, hutua airport.
7.Ya Mungu mengi, ya kuku ni mayai.
8. Swagga za ng'ombe azijuae mmasai
9. Aliye juu ameota mabawa
10.Mbio za kitandani huleta ujauzito.