Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

Ha...ha...ha...toka nimejiunga Jamiiforum, uzi huu ni wakwanza kunifanya nitabasamu kwa furaha.
Kweli wanadamu wanamambo mengi mazuri.
Uzi huu ni mzuri na wa kufurahisha kuliko zote nilizowahi kuzisoma.
Asanteni wakuu kwa ubunifu mzuri.
Ingawa naona wachangiaji wengi wanashambulia upande mmoja wa watawala.
Kwenye ukawa nako kuna aya nyingi tu za kufurahisha.
Hapa ni kufurahi tu.
Mkuu ukawa imetokea wapi tena? Tatizo unatafsir maandiko ukijua yanahusu CCM, no sisi hatuna maana hiyo ila tumeamua kusemezana kwa lugha ya kibiblia
 
Kama ilivyo desturi ya wayahudi pale inapotokea kuhani kajiudhulu ama kafa nafasi yake hupaswa kujazwa na kuhani kutoka kabila la Kaisari na si vingine .Basi ikatokea kuhani Mzee wa kitongoji cha Kaprenaum akaamua kuachia ngazi maana aliona haendani na kasi ya kuhani mkuu, ndipo jambo la ajabu likatokea; kuhani mkuu akamteua mama mmoja mgalilaya kuwa kuhani wa Kaprenaum na Huyo mama pasi na aibu akakubali uteuzi huo. Ndipo wayahudi wakaanza kuilizana "imekuwaje mama huyu mgalilaya ambaye humpinga kuhani mkuu ateuliwe kuwa kuhani?" Hakika jambo hilo lilizua gumzo kubwa mpaka kupelekea wayahudi kuona kwamba kuhani mkuu ana mpango wa kunyamazisha wanaompinga.(teuzi3;15_17)

Delta Force
 
msumari
 
Katika zama zile kana ya uyahudi kulitokea waraka wa majuto ulio wafanya waliopata mgao wa eskro waliposikia ule waraka wa mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi ulio tangazwa na kaisari mkuu kuwafanya washindwe kula na kunywa na kukosa usingizi na kuanza kujisafisha kabla fyekeo la kaisari sizonje kuwapitia ndipo walipo amua kuanza kurudisha dinari walizo hongwa na kayafa
Anaogopa kutumbuliwa 9:7_17
 
Kama ilivyo desturi ya wayahudi pale inapotokea kuhani kajiudhulu ama kafa nafasi yake hupaswa kujazwa na kuhani kutoka kabila la Kaisari na si vingine .Basi ikatokea kuhani Mzee wa kitongoji cha Kaprenaum akaamua kuachia ngazi maana aliona haendani na kasi ya kuhani mkuu, ndipo jambo la ajabu likatokea; kuhani mkuu akamteua mama mmoja mgalilaya kuwa kuhani wa Kaprenaum na Huyo mama pasi na aibu akakubali uteuzi huo. Ndipo wayahudi wakaanza kuilizana "imekuwaje mama huyu mgalilaya ambaye humpinga kuhani mkuu ateuliwe kuwa kuhani?" Hakika jambo hilo lilizua gumzo kubwa mpaka kupelekea wayahudi kuona kwamba kuhani mkuu ana mpango wa kunyamazisha wanaompinga.(teuzi3;15_17)

Delta Force
Jiwe gizani.....ila nahisi atalitakae mpata atalia kimya kimya
 
Amini nawaambia zitakuja zama za watu wa mamlaka kuwanyenyekea wevi na waovu kurudisha walivyodhulumu!na aliyedhulumu akatekeleza kwa madai anairejesha zawadi ya dhulma aliyopokea na wafalme wale wakapongezana kwa uadilifu wao huo.
Waraka wa mtume nge..ja 10:07-17

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndipo sizonje akapanda mahali pa juu palipoinuka akawauliza mafarisayo "nimteje huyu anayejiit Mfalme wa wanayanga " nao wakapaza sauti zao mfunge mfunge
Sizonje akawauliza nimfunge mfalme wenu
Hata alipokuja mtu kutoka msimbaz jina lake gody wamanyanga mbulu ili auchukue msalaba wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom