Jamani miaka ya karibuni wanawake wanaonekana kama watu wanaopenda fedha zaidi kuliko mapenzi ya kweli japo kuna wanawake ambao kwao fedha sio chochote nikiwa na maana wana mapenzi ya kweli japo wachache,lakini misemo kama hii wadau huoni kama inafanya wanawake waendelee kuamini fedha ndio kila kitu
1.Pesa kivutio cha warembo piga gym uwe security
2.Filisika ujue tabia ya mkeo
3.Mwanamke pesa sura,tabia,makalio hata baba mkwe anavyo
4.No money no honey
5 Kama hauna pesa wanawake wazuri utabaki kuwaita shemeji
6.Pesa inawafanya wanawake watulie tuliiiii
Na misemo mingine mbalimbali ambayo miaka ya karibuni imekuwa ikiunganishwa na Pesa kwenye mapenzi,SO WADAU TUFANYE NN ILI MAISHA YAWE KAMA YA KINA BIBI NA BABU ZETU WA ZAMANI