VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Dah no 6 hiyo exile inakuwaga kwa madhumuni gani?
Fafanua...
Nilijidai kuhama main campas nikaenda mabibo hostel first year kuwafata mashost,nakumbuka nilihamia ijumaa jmoc tu nikapigwa exile kutwa nzima,haki ya nani niliboreka jpili nikarudi main campas fasta lol!
Pole sana ! Mi nahisi ilikua upigwe exile wiki nzima ! Aisey wa- Tz bwana ! 70% about wanamiliki nyuso za Mbuzi.
Umeona hapohapo?
Nilijidai kuhama main campas nikaenda mabibo hostel first year kuwafata mashost,nakumbuka nilihamia ijumaa jmoc tu nikapigwa exile kutwa nzima,haki ya nani niliboreka jpili nikarudi main campas fasta lol!
Vimbweta,vile viti maalumu vilivojengwa na simenti kwa ajili ya kusomea kwenyd maeneo ya wazi chuon!
Ungeenda kuwasubiria pale block G wamalize mambo yao!Nilijidai kuhama main campas nikaenda mabibo hostel first year kuwafata mashost,nakumbuka nilihamia ijumaa jmoc tu nikapigwa exile kutwa nzima,haki ya nani niliboreka jpili nikarudi main campas fasta lol!
Nilijidai kuhama main campas nikaenda mabibo hostel first year kuwafata mashost,nakumbuka nilihamia ijumaa jmoc tu nikapigwa exile kutwa nzima,haki ya nani niliboreka jpili nikarudi main campas fasta lol!
Hhahahaha!Acha kutuuzia chai Canta...
Inakera mkuu mpaka kuoga unaoga kwa sabuni za kwa jiran kisa exile!yalinishinda nikajirudia campass lol!Ungeenda kuwasubiria pale block G wamalize mambo yao!
Kulishwa matango pori....kufundishwa majibu ya uongo-off topic!!plain/mass concrete chair's/benches
Hahahahha hahahah,aisee..kuna binti mmoja alinipa ofa ya kulala mabibo hostel..tulikua tunatoka pale London Pub..hahahahaha..cjui ndio wewe aliwapiga wenzake EXILE...maana sikukuta mtu rum..nikajilia mzigo hadi hadi kesho yake mchana saa sita kidume ndio kinatoka