Hizo helikopta za kampeni hazikununuliwa na CCM. Nasikia zilikodishwa na kampuni ya dhahabu Barrick. Labda sasa wamezirudisha Afrika kusini.Zile helicopter walizonunua kwa ajili ya kampeni si zinaweza kuwa mbadala wa kwenda Chalinze au mganga kamwambia zinaweza kuanguka?. Maana gharama ya magari 20 inaweza kabisa kutosha gharama ya helicopter moja na serving ikawepo
Kwa siku mbili mfululizo, Jumamosi na leo Jumapili JK amekuwa akipita barabara ya Morogoro na msafara wa magari yapatayo 20, na kutusababishiea kero kubwa sisi watumiaji wa barabara hii. Naambiwa huwa anakwenda Chalinze. Hivi huyu Rais hawezi kutulia akafanya kazi za kulijenga hili taifa?
Magari 20 msafara wa Kikwete kwenda Chalinze? what a waste!!
Angalia motorcade ya waziri mkuu wa uingereza: magari maatatu tu ukichanganya na lile la polisi.
kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa ningekuwa mshauri wake ningemshauri atulie kwa kuwa watu hawampendi, so wanaweza kumfanya chochote ili wapate kufanya tena uchaguzi wa urais