Navyo kumbuka Kaberuka aliongoza team iliyo investigate zile lumbesa za stanbic, Na donor Mara nyingi wanataka financial discipline, sio wao wanatoa wewe unachukua kwenye lumbesa. Tumshukuru Raisi Na Kaberuka kulifanya hilo fraida zake wote tunaziona iwe ni donors, serikali, watendaji na wananchi kwa jumla.Kwanza nianze kwa kusema, naunga mkono juhudi za Rais wetu kutaka Tanzania ijitegemee. Ni mtazamo wa watanzania wengi tu na hata vyama vya upinzani wameliongelea sana suala hili.
Misaada ambayo Rais wetu amepokea juzi toka kwa umoja wa ulaya imerudi kwa masharti yaleyale, The Citizen linaripoti. Kwa mujibu wa gazeti hilo licha ya msimamo wa Rais kuhusu misaada toka nje, ilikuwa vigumu kwa bajeti ya 2016/2017 kutekelezeka kama mchezo wa paka na panya ungeendelea.
Ukweli ni kwamba watu kutoka serikalini walikuwa wanafanya jitihada nyuma ya pazia kuokoa jahazi kwani ilikuwa bayana kwamba misimamo wa kisiasa wa Rais wetu ulikuwa haumsaidii yeyote.
Wakati Rais Magufuli akiendelea kutuaminisha wananchi masikini kwamba wahisani hawana tena nafasi ya kutupangia masharti, inaelezwa kuwa wawakilishi wa serikali walijadiliana mpango ambao kimsingi utamfanya mkuu wa nchi aendelee kuyaishi masharti yaleyale ambayo alijinasibu huko nyuma kuwa hatoyakubali asilani.
Naishauri serikali na Rais wetu, ukimya nao una busara zake katika kufanya maamuzi na kuweka mambo sawa, "tusitukane mamba kabla hatujavuka mto", tusipende kuongea sana kwa kufurahisha genge, “twende strategically” tutafika. Kwa madhara yaliyotukuta safari hii kwa bajeti yetu ya 16/17 kupumulia mashine hili liwe fundisho kwetu sote.
Ushauri kwa wasomi wetu, acheni kujipendekeza, mwambieni Mh. Rais ukweli, ongeeni ukweli kwa faida ya Taifa letu na vizazi vijavyo. Msiongee kumpendezesha Mh. Rais ili tu muonekane.
Mwisho, shukrani za pekee kwa bosi wa zamani wa Africa Development Bank Ndg. Donald Kaberuka kwa kuongoza mazungumzo yaliyofanikisha misaada tuliyoshuhudia ikirudi wakati rais wetu alipokutana na Balozi wa Umoja wa ulaya.
Mungu ibariki Tanzania
Sababu watanzania tuko busy mitandaoni kupiga ubuyuKwanini Kaberuka? na si mtanzania?
Kwani Kaberuka siyo mtanzania?Kwanini Kaberuka? na si mtanzania?
Ni mnyarwanda. Ingia google u-search hilo jina utapata maelezo yake.Kwani Kaberuka siyo mtanzania?
Rwanda!Kwani Kaberuka siyo mtanzania?
Mnamuona Maalim Seif anatamba mnadhani ni bure! ushindi aliopokonywa lazima uirudishe serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar. Mkikataa ni kuikaribisha taabu tupu.Wakati Rais Magufuli akiendelea kutuaminisha wananchi masikini kwamba wahisani hawana tena nafasi ya kutupangia masharti, inaelezwa kuwa wawakilishi wa serikali walijadiliana mpango ambao kimsingi utamfanya mkuu wa nchi aendelee kuyaishi masharti yaleyale ambayo alijinasibu huko nyuma kuwa hatoyakubali asilani.
Kwanza nianze kwa kusema, naunga mkono juhudi za Rais wetu kutaka Tanzania ijitegemee. Ni mtazamo wa watanzania wengi tu na hata vyama vya upinzani wameliongelea sana suala hili.
Misaada ambayo Rais wetu amepokea juzi toka kwa umoja wa ulaya imerudi kwa masharti yaleyale, The Citizen linaripoti. Kwa mujibu wa gazeti hilo licha ya msimamo wa Rais kuhusu misaada toka nje, ilikuwa vigumu kwa bajeti ya 2016/2017 kutekelezeka kama mchezo wa paka na panya ungeendelea.
Ukweli ni kwamba watu kutoka serikalini walikuwa wanafanya jitihada nyuma ya pazia kuokoa jahazi kwani ilikuwa bayana kwamba misimamo wa kisiasa wa Rais wetu ulikuwa haumsaidii yeyote.
Wakati Rais Magufuli akiendelea kutuaminisha wananchi masikini kwamba wahisani hawana tena nafasi ya kutupangia masharti, inaelezwa kuwa wawakilishi wa serikali walijadiliana mpango ambao kimsingi utamfanya mkuu wa nchi aendelee kuyaishi masharti yaleyale ambayo alijinasibu huko nyuma kuwa hatoyakubali asilani.
Naishauri serikali na Rais wetu, ukimya nao una busara zake katika kufanya maamuzi na kuweka mambo sawa, "tusitukane mamba kabla hatujavuka mto", tusipende kuongea sana kwa kufurahisha genge, “twende strategically” tutafika. Kwa madhara yaliyotukuta safari hii kwa bajeti yetu ya 16/17 kupumulia mashine hili liwe fundisho kwetu sote.
Ushauri kwa wasomi wetu, acheni kujipendekeza, mwambieni Mh. Rais ukweli, ongeeni ukweli kwa faida ya Taifa letu na vizazi vijavyo. Msiongee kumpendezesha Mh. Rais ili tu muonekane.
Mwisho, shukrani za pekee kwa bosi wa zamani wa Africa Development Bank Ndg. Donald Kaberuka kwa kuongoza mazungumzo yaliyofanikisha misaada tuliyoshuhudia ikirudi wakati Rais wetu alipokutana na Balozi wa Umoja wa ulaya.
Mungu ibariki Tanzania
Mwisho kesi za hovyohovyo zinazotokana na watu kutumia haki ya kidemokrasia zifutwe,kesi za lissu,lema na wengine wa mitandaoniMisaada kutoka nchi za Ulaya imerudi kwa gharama. Taarifa za ndani ni kwamba nchi za Ulaya zilikataa kabisa kutoa misaada kwa Tanzania. Tukalazimika kumtumia mtu wa kati, Rais Mstaafu wa Benki ya Afrika Donald Kaberuka, kutuunganisha na nchi za Ulaya.
Misaada inarudi kwa masharti ambayo tumerudhia:
1) Kuheshimu demokrasia, pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye kazi bila vipingamizi vya serikali
2) Utatuzi wa mgogoro wa Zanzibar
3) Utawala wa sheria
4) Uhuru wa maoni
5) Uhuru wa vyombo vya habari
Nchi za kiafrika zilipewa Uhuru wa bendera,kiuchumi bado jamaa wanatawala na huu ni ushahidi tosha,kimsingi viongozi wa kiafrika ni magavana wa G7, na wazungu waliona ili kupunguza misuguano,ngoja tuwawekee waafrika marais wanaotokana na wao,lakini uchumi tubaki nao,Tanzania kuishi bila misaada ya wahisani ni sawa na kusema myu aishi bila kula, utasavaivu kwa siku chache lakini mwisho utakufa.
Tulijaribu kifo, ila tulikua wajanja, tulienda kujinyonga kwa kamba huku tuna kisu mkononi kua, tulivyoona kweli mkojo unaanza kutoka tukakata kamba shingoni na kuanguka chini puuuuuuh kama gunia, walau tumepona, mambo mengine tutajua badae ila yumejua kwa uhakika kabisa kua kifo hakitaniwi.