Misaada ya corona yafikia bil. 6.726/-

Wamlipe mkandarasi wa flyover ya ubungo amalize kazi haraka,tunataka kuwahi kuchapa kazi,foleni zinazingua
 
Misaada ya shs.6.2 nakumbuka ilikuwa tarehe 8 April, kulikoni tena!
 
Utashangaaa fedha hizi zinakwenda kujenga reli

Hizi ziunganishwe na zile gratuity wanazozisubiri wabunge Dodoma zingetusukuma sana kwenye kuwasaidia wahitaji kwenye lockdown.

Bunge sitisheni vikao vyenu. Posho nazo zije huku kwenye lockdown kwa sasa.

Wabunge bila kujali vyama vyenu tutendeeni haki sisi wananchi wenu!

Kuweni na mioyo ya huruma muda unazidi kuyoyoma Corona itatumaliza.
 
Utashangaaa fedha hizi zinakwenda kujenga reli
Tutamalizia kuleta zile ndege! Na hizi fedha za emergency sidhani kama zinakuaga audited. CCM wamepatia za Uchaguzi humo humo ndio maana hawakua serious kukemea hilo Gonjwa kumbe wametega
 
Mtaani Barakoa Tsh 2000/= mihela yote hiyo yanini sasa?
 

Kila nikiangalia hii picha naishia kuwaza kama kutakuwa na mabadiliko this time au tutaambiwa serikali haijaleta korona
 
Naona hili ni jukum la Kila mtanzania,ingependeza Kama serikali ingeweka account Kila mtanzania anaye jisikia hata akiwa 100 akachengia,kuliko sasa hivi watachangia matajiri tuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni sawa na $3M ambayo inanunulia masks za mkoa wa Dar za silu moja tu!
 
Vice versa is true wanaotoa unawajua?? Kwa awamu hii kupenda sifa haiachi kumpa mtu pesa akaenda kuweka japo tu ionekane inaungwa mkono.
Ina maana hakuna watu wanaojitolea kwa ajili ya taifa lao ndo kutukuamini tu kwamba inwezekana.
 
Nashauri fedha zitumike kwa matumizi mengine, kwa mfano, miradi ya kimkakati kama SGR na Stigler gorge.
Wanaosema hizo fedha zitumike kwenye kupambana na Corona, nawashangaa kwa kweli.
Serikali ilileta Corona? Serikali ilihaidi kuleta Corona wakati wa kampeni?
Watanzania tubadilike, serikali haileti majanga. Corona ni natural disaster kama ilivyokuwa tetemeko kule Kagera.
 
Kuna mtu kashauri hizo hela za michango ya corona wapewe waathirika wenyewe wa corona[emoji16][emoji16][emoji16].


"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…