1. Nenda Play store na download app inaitwa MIUI Updater
2. Baada ya kuweka MIUI Updater itakupa chagua la kudownload MIUI 13, chagua hiyo na usubilie mpaka imalizike.
3. Ukimaliza nenda Setting-> About halafu bonyeza logo ya MiUI version
4. Itakuja logo ya MiUI inayoonyesha version yake, bonyeza hiyo logo mara nyingi mpaka itokee ujumbe "additional update features are on"
5. Kisha upande wa juu Julia kwenye vidoti vitatu chagua "choose update package"
6. Utachagua faili ambalo MiUI Updater ilidownload ikishamiliza utapata android 12 na MiUI 13
Hawa jamaa Xiaomi kwenye software ni wazembe Sana bila kufanya hivyo utakesha hata network iwe na nguvu