Misa za Wakristo Pakistan

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg


Hii ilikuwa ni Jumapili ya Matawi huko Pakistan,Mwanzo wa Juma Kuu kuelekea sikukuu ya Pasaka.Ni mwendo wa kulindwa na bunduki mwanzo mwisho
 
Halafu hayo majitu yanasema eti yanaabudu amani, na bila haya yanalazimisha kanuni zake katika nchi za wengine bila kujali ushenzi wa kishetani yanayowafanyia wengine yakiwa kwao.

Pumbavu kabisa!
 
Sasa, mbona mnalipua zaidi MISIKITI?!! Na siku ya IJUMAA ndiyo inaongoza kwa matukio ya ULIPUAJI MABOMU YA KUJITOA MHANGA?!

Wiki iliyoisha wanawake wa Boko Haram waliua watu Msikitini. Hii dini inanishangaza sana! Sielewi..!
 
Siku yakiwa hivi Dar sijui itakuwaje. Siombi lakini naona ka ndo huko tunaelekezewa.
 
Leo nimeangalia documentary ya "he named me Malala" ni shida. It was very inspirational, unaweza jiuliza jinsi Watanzania tunavo take advantage kwa inchi yetu. Kuna nchi wanashida jamani, wanalia kwa uchungu na kusalia kwa uchungu.
 
Back
Top Bottom