Misa ya kumuaga marehemu Sr. Kapuli wa parokia ya Makoka aliyepigwa risasi

Kova aachie ngazi, kwanini miongozi inayoshindwa kufanya kazi vizuri haijiuzulu kusidi wenye uwezo washike hatamu?

RIP sister!

Kova ajira yake inakoma June 30. alishastaafu mwaka jana akapata mkataba wa mwaka mmoja. acha waondoke, good enough Mangu haelekei kukumbatia habari za watu kufanya kazi kwa mikataba
 
Back
Top Bottom