Mirungi chewing: Inapoteza hamu ya kufanya mapenzi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Wadau,

Mikoa inakoliwa Mirungi, walaji wakubwa ni vijana wa rika la kuoa. Nachelewa kusema kuwa one of the biggest biological effects of Mirungi ni kupoteza hamu ya kufanya mapenzi (low libido).

What will be the destiny of this young generation! Mwisho wa hili utakuwa upi?
Please- Libido, not libodo- slip of finger.
 
Nashindwa kuelewa ni kwa nini sikubaliani na hiyo hoja.Nina mtu namjuwa ni mlaji mzuri wa mirungi na kwa muda mfupi amezalisha mke wake watoto wanne.
 
Naipenda mie Mira Nikienda Tanga Kwa Bibi lazima tuna sagaa just for fun...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1430162627.475932.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1430162627.475932.jpg
    90.5 KB · Views: 364
Back
Top Bottom