Mirunda inauzwa Bei nzuri, Ni aina ya mitiki. Na inapatikana hapa hapa Dar. Mzigo upo wa kutosha....tunayo stock Hadi kufikia mirunda 5,000. Kazi ipo kwako tu kunitafuta na useme unahitaji kiasi gani. Unaweza kuni Pm au nipigie kwa namba 0652 517 477. Njoo tufanye biashara Mtu wangu wa nguvu au hata Kama unaye mteja pia ni vizuri kwani yapo malipo kwa ajili ya commission. Muhimu naomba tuwasiliane kabla mzigo hujaisha