Samsung Galaxy SIV is here see how it compares to other top smart phones

Samsung Galaxy SIV is here see how it compares to other top smart phones

Keyser Söze

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
479
Reaction score
716
Samsung Galaxy S 4 vs. iPhone 5 vs. HTC One vs. Nokia Lumia 920

[TABLE="class: comparison-chart"]
[TR]
[TH="class: blank"][/TH]
[TH]
galaxy-s4-tiny.gif

Galaxy S 4[/TH]
[TH]
iPhone 5[/TH]
[TH]
htc-one-tiny2.jpg

HTC One[/TH]
[TH]
Nokia-Lumia-920-tiny.jpg

Lumia 920[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Screen Size[/TD]
[TD]5 inches[/TD]
[TD]4 inches[/TD]
[TD]4.65 inches[/TD]
[TD]4.5 inches[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Resolution[/TD]
[TD]1920x1080[/TD]
[TD]1136x640[/TD]
[TD]1920x1080[/TD]
[TD]1280x768[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Screen Type/DPI[/TD]
[TD]Super AMOLED, 441 ppi[/TD]
[TD]LCD, 326 ppi[/TD]
[TD]S-LCD 3, 468 ppi[/TD]
[TD]AMOLED, 332 ppi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Weight[/TD]
[TD]4.6 oz[/TD]
[TD]3.9 oz[/TD]
[TD]5 oz[/TD]
[TD]6.5 oz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chipset[/TD]
[TD]Quad-core 1.9GHz Snapdragon 600 in the U.S. (8-core 1.8GHz Exnyos 5 Octa elsewhere)[/TD]
[TD]Dual-core Apple A6[/TD]
[TD]Quad-core 1.7GHz Snapdragon 600[/TD]
[TD]Dual-core 1.5 GHz Snapdragon S4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Storage[/TD]
[TD]16GB, 32GB or 64GB +microSD slot[/TD]
[TD]16GB, 32GB or 64GB, no card slot[/TD]
[TD]32GB or 64GB, no card slot[/TD]
[TD]32GB, no card slot[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Connectors[/TD]
[TD]microUSB[/TD]
[TD]Apple Lightning[/TD]
[TD]microUSB[/TD]
[TD]microUSB[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Operating System[/TD]
[TD]Android 4.2.2 (Jelly Bean)[/TD]
[TD]iOS 6[/TD]
[TD]Android 4.1 (Jelly Bean)[/TD]
[TD]Microsoft Windows Phone 8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Battery (in milliamperes/hour)[/TD]
[TD]2,600 mAh[/TD]
[TD]1,434 mAh[/TD]
[TD]2,300 mAh[/TD]
[TD]2,000 mAh[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Camera[/TD]
[TD]13MP autofocus, LED flash & zero shutter lag[/TD]
[TD]8MP, autofocus, LED flash [/TD]
[TD]4MP ("ultrapixels")[/TD]
[TD]8MP, autofocus, optical image stabilization, dual-LED flash[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Networking[/TD]
[TD]Wi-Fi, 2G, 3G, 4G LTE [/TD]
[TD]Wi-Fi, 2G, 3G, 4G LTE[/TD]
[TD]Wi-Fi, 2G, 3G, 4G LTE[/TD]
[TD]Wi-Fi, 2G, 3G, 4G LTE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
I go for Sgs4, eye scrolling, dual camera working at the same time!!!
 
Apple will also release the new iphone, so i think if you are wise you should wait
 
Keyser Söze;5918017 said:
Apple will also release the new iphone, so i think if you are wise you should wait

Mid this year watatoa iPhone 5s
 
hii kitu imenishangaza simu inafanya kazi kwa kutumia Macho! kufungua phonebook,kupiga. n.k hii ni kweli Wadau? basi wengine watakuja na aina nyingine ya kutumia mawazo na si macho tena tusubiri... Tanzania sie wametucha tuendelee na Uchawi kwa hii elimu yetu mbovu
 
Tena inasikitisha sana maana wakina chemba la choo wanakuja na video uchwara wenzao wanaruka na mateknolojia ya mbali kabisa,shame on you masisiem!!!
 
Unaambia hata ukiwa unaangalia video ukisogeza macho ina pause
 
Yaani bado ile SG III yangu babo mpya na upya wake halafu wanaleta tena nyingine? Aise hawa watu wawekewe speed governor!!!
 
Hivi Hili Jukwaa Skuiz Mbona Lna Uznguz!!! hayo Matangazo Unayo Weka Kila Sehemu Yana Udhi!!! kizuri Kinajiuza!!! ila Kibaya Kina Jitembeza!!! hapa Sio Facebook Jamaniiii

SAMAHANI LAKINI!!!!

Samahani wewe kwa kuudhika lakini ningependa uzingatie mambo mawili:
1. Ni jambo la kawaida kabisa katika katika forums kufanya quatation au kutoa link kama information ni zina uhusiano. Forum na Blog zote ni E-Word of Mouth (e-WOM) kwa hiyo ni vitu viwili vinavyokwenda sambamba, ni kweli hii sio facebook, lakini facebook akam social media (na sio e-WOM) ni tofauti kabisa na forum pamoja na blog.

2. Blog hii haiuzi bidhaa wala haitangazi biashara, kwa hiyo si matangazo ya kibiashara. Kwa hiyo hata kama kwa mfano kuna policy ya kutotangaza biashara kwenye forum basi haya si matangazo ya biashara.

Mwisho kabisa huwezi kuwemo kwenye forum ya maelfu ya watu halafu ukapendezewa na kila kitu au ukachukizwa na kila, yapo yatakayokupendeza yapo yatakayokuudhi. Hata mimi kuna yasiyonipendeza nasoma na kuyaacha au naacha kusoma.

Wakati wewe hili lime kuudhi ninakuhakikishia wapo waliogonga like na wako hata waliotoa comment za kuonyeshwa wamependezwa nalo. Hivyo uvumilivu ni kitu muhimu kwa sababu watu hutofautiana kifikra, uwezo, mawazo, interest, personality, chuki, furaha n.k.

I do respect your opinion though.
 
unacho Boa Ww Kila Post Ako Ni Gajetek Kila Post unafagilia Blog Yako!!! Hata Sis Tunazjua Gajets So Unapotoa Maoni Yako Toa Maoni Ya Millah Sio Ya Gajetek!!! coz Hata Username Yako Ni Millah Not Gajetek!!! kama Tukitaka Kujua Hzo Habar za Gajets bas Tunaenda Verge Au GSM Arena Coz Wana Uhakika Na Wanacho Ongea Kuliko Ww Unaekopi Kwaooo!!! so Man Nakushaur Jipange Upyaaaa!!! coz Hakuna Washamba Humu
 
Ahsante kwa maoni yako haya.

Utakapoona makala moja tu ambayo nimekopi nijulishe (kukopi kwa maana ya Plagiarism), naamini hutapata hata makala moja kwenye Gajetek ambayo imefanyiwa plagiarism kutoka kwenye Phone Arena au popote. Ama kama unazungumzia kwamba naandika habari zile zile zinazoandikwa sehemu kama vile Phone Arena basi kwa unavyotaka wewe Duniani kungekuwa na shirika la habari moja tu katika kila sekta na wengine wote hawaruhusiwi kuripoti habari akisharipoti yule wa kwanza. Lakini ukweli ni kwamba habari zinasambaa kwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia kama hizi.

Hata Phone Arena wanaporipoti kuhusu Samsung au Apple au gadget yoyote huwa hawajafanya ushamba na wala wao sio original source wakati mwengine, kwa hiyo hatuwezi kusema Phone Arena unayoipenda wewe wasiandike kwa sababu tu wao wametoa habari hizo sehemu nyingine. Labda pia nikukumbushe kwamba kati ya Watanzania milioni 43 sio wote wanaojua lugha inayotumiwa na Phone Arena.

Habari huripotiwa kwa namna mbili: Primary sources na Secondary sources, mashirika kama vile Reuters wao wanashughulika na Primary sources peke yake, akina Phone Arena wanachanganya, binafsi natumia secondary sources, kwa hiyo hapa hakuna dhambi wala kosa.

Mwisho kwa kuandika ninayoandika naamini sikuvunja sheria za Jamii Forum au sheria yoyote na hilo ndio la msingi zaidi, na kama kuboa, kama nilivyosema awali hata mimi humu kuna yasiyonipendeza na huwa naacha kuyasoma lakini wapo wanaojibu na kupendezewa nayo na hivyo naheshima uhuru wao huo waliokuwa nao.

Mwisho unataka nitoe maoni yangu kama Millah na sio Gajetek, nadhani huo ni uhuru wangu kuamua natoa maoni yangu namna gani na hakuna mwenye haki ya kunipangia. Ndio maana ya uhuru wa kutoa maoni. Au hata ningeamua kujiita Gajetek badala ya jina kwa sababu hilo ni user name! Lakini isingeleta tofauti ya nini nasema na hilo ndio la msingi zaidi.
 
unacho Boa Ww Kila Post Ako Ni Gajetek Kila Post unafagilia Blog Yako!!! Hata Sis Tunazjua Gajets So Unapotoa Maoni Yako Toa Maoni Ya Millah Sio Ya Gajetek!!! coz Hata Username Yako Ni Millah Not Gajetek!!! kama Tukitaka Kujua Hzo Habar za Gajets bas Tunaenda Verge Au GSM Arena Coz Wana Uhakika Na Wanacho Ongea Kuliko Ww Unaekopi Kwaooo!!! so Man Nakushaur Jipange Upyaaaa!!! coz Hakuna Washamba Humu

Watu wengne chuki binafsi tu(ROHO MBAYA) umeona mtu anaandika vitu ambavyo huvijui ushajaa wivu sio lazima link zote zitoke GSM arena blogs za tech zipo nyingi na ogopa kukariri kwani we kina kukera nini kama anachoandika sio uongo.Waafrika tunashindwa kupeana support sie wenyewe sababu ya wajinga wachache kama wewe .........tokaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom