Mirascreen HDMI dongle



Tv yangu ilipaswa kuja na hiki kitu ambacho ndo kingenipa mnengeneko wa wifi ila sikukipata sasa napata tabu. Kuna viwifi dongle cinauzwa kkoo ila sina hakika kama vitasupport nikaona nikuulize labda una utaalam kidogi

Za kariakoo hizi hapa
 
mara nyingi tv sio smart kihivyo kukubali kila accessory, hivyo kuna uwezekano mkubwa kisifanye kazi hadi utumie usb dongle ya huyo manufacture mwenyewe, kwani atakuwa amesha pre load driver zake.

ila sio mbaya kujaribu, kama una rafiki anacho muazime utest
 
Sina rafiki ila nafikiria kurisk kukinunu. Hii TV inasoma mpa hard disk so naona kam chances are inaweza ikasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…