Wadau nimeshawishika kununua hiki kifaa kwa ajili ya kuweza kuunganisha simu yangu na TV but nimeona ni vyema kuja kuomba msaada wa ushauri na mawazo kwanza kwenu haswa kwa wenye ujuzi nacho na walio wahi kukutumia ili watujuze ubora wake na mapungufu yake pia, na kama kina mbadala bora kabisa. Nimekiona jumia.com asanteni na karibuni kwa mawazo
kinapatikana www.jumia.com zamani ni kaymu.co.tz, wauzaji wanajiita wishwishNa mi nakitafuta. Kama ni dar niambie kinapatikana duka gani au mawasiliano yao. Maana hata mi tv yangu sony bravia haina built in wi fi ambapo ingekuwa rahis kufanya mirroring
Asante mkuu kwa huu ushauri ngoja niufanyie kazi. Bei ni 66000 kwa hao wishwishmkuu cha muhimu zaidi hapo ni kujua hio dongle inatumia technology gani, zipo technology nyingi sana kama DLNA, miracast, Widi, etc
halafu ukishajua kagua na kifaa chako kama simu au tablet au laptop kinatumia technology gani nacho,
simu yoyote yenye wifi hukubali hio DLNA lakini weakness yake ni kwamba inaplay tu media vitu kama video, picha na miziki. nzuri zaidi ni miracast hii utaplay chochote iwe games, kustream online etc ila nayo kama unastream vitu vya high quality kama video za 4k au full hd inaweza kunata nata.
kujua dongle ina technology zipi angalia tu kwenye box lake watakuwa wameandika na kwa kifaa chako kama simu unaweza google online au nenda setting kwenye wireless and network utaikuta.
pia kuna tv zina built in wifi hizi hazihitaji hio dongle.
bei ni sh ngapi?
Mirascreen ilishanifikia tokea Jumia wiki moja tangu niagize. Naona wako serious. Na uzuri unalipa wakat wa makabidhiano. Unaletewa hadi mtaan kwako au nearby known place. Inafanya kazi iliyokusudiwa vizuri tu. asante sana Jumia.comUkikipata mkuu utupe mrejesho wake
inayo miracast?Mirascreen ilishanifikia tokea Jumia wiki moja tangu niagize. Naona wako serious. Na uzuri unalipa wakat wa makabidhiano. Unaletewa hadi mtaan kwako au nearby known place. Inafanya kazi iliyokusudiwa vizuri tu. asante sana Jumia.com
Hapo sijui miracast ndo nini. Mi najua kununua na kutumia tu. Hiki kifaa mirascreen naona kaz kubwa nikufanya kazi ya wi fi kama hiv bravia yangu haina built in wi fi ili kukamilisha screen mirroring. Hakina mbwembwe ni kuchomeka kwenye hdmi ya tv na usb kwa kucharge ukakiwasha ukakisearch kwenye wi fi ya simu na kuwasha screen mirroring. Bas kila kinachoonekana kwenye screen ya simu ndo pia kiko kwa tv na sauti yake kama ni media. Naona picha na video zinatoka vzur sana. hapa natafuta jins gan sauti ihamie kwenye hometheatre ya sony mana sehem out toka tv ni ya headphones tu.inayo miracast?
Hapo sijui miracast ndo nini. Mi najua kununua na kutumia tu. Hiki kifaa mirascreen naona kaz kubwa nikufanya kazi ya wi fi kama hiv bravia yangu haina built in wi fi ili kukamilisha screen mirroring. Hakina mbwembwe ni kuchomeka kwenye hdmi ya tv na usb kwa kucharge ukakiwasha ukakisearch kwenye wi fi ya simu na kuwasha screen mirroring. Bas kila kinachoonekana kwenye screen ya simu ndo pia kiko kwa tv na sauti yake kama ni media. Naona picha na video zinatoka vzur sana. hapa natafuta jins gan sauti ihamie kwenye hometheatre ya sony mana sehem out toka tv ni ya headphones tu.
chromecast zipo kibao, seems hujazielewa hizi wireless standard, kuna miracast, dlna, airplay nk kama unataka media tu ndio zionekane lakini vitu vyengine kama sms ukisoma visionekane kwenye tv tumia dlna search store app zake then dongle yako ibadili mode iwe dlnaSasa miracast nimeielewa. Just wireless hdmi. Ndo mana kuna wi fi kat ya simu na tv. Lakin tatzo la miracast screen lazima ikae on. Pia ukihamia kitu kungine km picha au sms au call au misic nayo inaonyesha hicho hicho.....mirroring! Sasa dawa ni chromecast naona ndo inakuwa poa. Inakuwa smart. Waweza kuendelea kuangalia kitu kwenye tv ikiwa sleep na kuokoa betri au kufanya mengine.Nitaitafuta mpaka.
Mkuu habari. Nina swali vipi nikitaka TV yangu iconnect na wifi ya nyumbani kwangu hiki kifaa kinafaa au mpaka ninunue doungle ya pembeni?chromecast zipo kibao, seems hujazielewa hizi wireless standard, kuna miracast, dlna, airplay nk kama unataka media tu ndio zionekane lakini vitu vyengine kama sms ukisoma visionekane kwenye tv tumia dlna search store app zake then dongle yako ibadili mode iwe dlna
na assume tv yako haina wifi kabisa, hizo dongle zote hapo juu ni standard za wifi hivyo lazima wifi iwepo kwanza, ila dongle nyingi kati ya hizo zinatumia wifi zinavyotaka zenyewe, kwa lugha nyengine itaconect na hio wifi ya nyumbani ila hutaweza kufanya mambo yako ya kawaida ya wifi badala yake utatumia kustream tu vitu ulivyopangiwa na hio dongle.Mkuu habari. Nina swali vipi nikitaka TV yangu iconnect na wifi ya nyumbani kwangu hiki kifaa kinafaa au mpaka ninunue doungle ya pembeni?