Miradi inayofanyika na itakayofanyika 2017 mpaka 2025

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,874
Nawasalimia wana JF.
Nitakuwa nawaletea miradi nchini inayofanyika na inayotarajiwa kufanyika ndani ya miaka 10 iliyobaki.

Nitakuwa naweka picha na video ili kuonesha design yake au namna unavyoendelea.

Nawaomba mods. Huu uzi wasiuhamishe maana ndio siasa zenyewe.

Siasa za kusema watu binafsi nadhani ni za kitoto. Watu waliokomaa kwenye siasa huwa wana deal na issues.

Karibuni sana.

untitled-jpg.456620
 
Acha uwehu wewe kichwa cha habari kinasema "miradi inayofanyika na itaka..." sasa unaleta blablah badala ya kuanza kuweka picha na video za hiyo inayofanyika
 
Acha uwehu wewe kichwa cha habari kinasema "miradi inayofanyika na itaka..." sasa unaleta blablah badala ya kuanza kuweka picha na video za hiyo inayofanyika
Subira yavuta heri.
 
Kuweka daraja busisi mpaka kigongo feri,kuunganisha dar es saalam mpaka zanzibar kwa daraja
 
Mradi pekee wa maana tunaotaka uulete ni mradi utakaoinua vipato vya Watanzania wa tabaka la chini (masikini) na kuwapa uwezo wa kuingia kwenye tabaka linalofuata la juu (lifting people out of poverty), na tupewe idadi yao kwa kila baada ya miaka mitano.

Hawa wakishakuwa na "increased spending power" ndiyo tunaweza kuanza kujadili habari za maendeleo. Zaidi ya hapo hiyo miradi yako ni maendeleo ya barabara na flyovers vitu ambavyo havimpi mtu yeyote wa chini mbadala wa maisha anayoishi.

Hili jambo serikali zote zilizopita zimeshindwa, huyu wa sasa naye anapita mle mle kwa hiyo hakutakuwa na tofauti hata atawale miaka elfu kumi.

Chupa tu ndiyo iliyobadilika na kuapishwa November 5, 2015 lakini mvinyo ni ule ule.
 
Flyover ya Ubungo
Huu mradi utasaidia msongamano ndani ya jiji la dar es salaam
Untitled.jpg


 
Mradi wa umeme Kinyerezi II (MW 240)
Kituo cha kufua umeme utokanao na gesi. Utaingizwa kwenye gridi ya taifa
Kinyerezi1.JPG
Kinyerezi2.JPG
Kinyerezi3.JPG
 
Njia kuu ya umeme kilovolts 400
Huu ni umeme mkubwa kabisa. Utasaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika nchi nzima
PICHA NA 5.JPG
picha-tatu.jpg
 
Back
Top Bottom