Miracle At "Lupaso"

Mario Kejob

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
381
500
Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun.

Iliisha wahi kutokea huko nyuma kati ya Simba na Mufulira Wanderers, why not now. Simba wajipange tu vizuri na kutokurudia makosa yao na dakika 90 za pili ndio zitaamua matokeo.

All the best Mnyama.
 

muokotamatunda

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
935
1,000
Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun...
mfunge 4,mje muweke Tena la 5,wale jamaa wamesimama tu,,kumbuka uchezaji wao ule aisee, Yani mnakazi yakufunga na kuzuia wasifunge hata mota moja....na kwa Simba hii
 

Asam

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
237
500
Katika kupindua hiyo meza yenu mnayojidanganya hakikisheni Kaizer wasipate wasipate KONA,kwani wakipata KONA tu ujue gori. Unaambiwa bora wapate PENATI wanaweza kosa lakini siyo KONA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom