Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
Kumbe Rostam ana mtandao mpana kiasi hiki!? Kazi ipo.Jussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
Duh wanaolewa kirahisi sana ..anataka mkopo kwa Rostam kuna upinzani kweli hapo!!!!!!!!!!!Jussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
Very interesting. Hakika hii ngoma ya UFISADI ni ngumu. Huyu bwana (RA) inaonekana kashikilia siasa za Tanzania kila idara - sio chama tawala, sio upinzani.Jussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
Jussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
Dah... nimekubali Rostam ni King Maker. Mi nilidhani wadeni wake ni Mtikila tu..kumbe hadi Hamad alitaka kuingia kwenye pay roll yake kwa nguvu! Kweli Tz hakuna lisilowezekanaJussa anadai kuwa chanzo kikubwa cha Hamadi kuanza kumchukia na kuleta chokochoko zote hizo juu yake ni pale Hamad alipomuomba (Jussa) amuombee mkopo wa Shilingi Bilioni moja kutoka kwa Rostam ili afanye biashara kwa kuwa wao ni maswahiba na Jussa alipokataa ndo Hamad akaanza kumfungukia
Chanzo/sosi?. Amedai akiwa wapi?
Habari unaitilia shaka? Jusa yuko live saa hizi na tumemsikia akitamka hayo wewe utatiliaje habari shaka? Angalau ungetilia shaka maelezo ya Mh. Jusa na sio habari yenyewe ambayo ina-report alichosema Jusa.Hamad alishindwa kuchukua mkopo benki? Hii habari naitilia shaka. Hivi huyu Jussa ndiye katibu wa Rostam?
Dah..nimekubali Rostam ni King Maker. Mi nilidhani wadeni wake ni Mtikila tu..kumbe hadi Hamad alitaka kuingia kwenye pay roll yake kwa nguvu! Kweli Tz hakuna lisilowezekana