Mkuu Neema unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo
Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)
Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa - ikisha-load na kuwa kubwa -RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"
Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF
Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE
Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"
Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo