group whatsapp ujasiriamal mbeya.
drop namba
Poa mkuu nitajaribu na husababiswa na nini?Mkuu hao ni kuvu wa mipapai na hapo wameshambulia sana mpaka majani yananyauka unaweza kutumia dawa za kuzuia kuvu kama mancozeb au farmzeb na aina nyingne kama hzo katika dozi nzito kidogo ili kucontrol vyema ugonjwa huo
Tumia dawa zinazotibu fungusAksante mkuu, kwa hali hii sasa nifanyeje? Hakuna dawa yake?
Kuvu means fungus ,ko chanzo cha ugonjwa huo ni fungusPoa mkuu nitajaribu na husababiswa na nini?
Ni vema ukatumia majina ya biashara sio ya kitaalam. Unaweza kuuliza metalaxyl hata dukani muuzaji akakwambia haipo kumbe ipo. Dawa zenye metalaxyl kama active ingredient kwa kawaida huwa pia na mancozeb. Mfano ni Ridomil Gold, Ivory 72 ( Sio Ivory 80), na nyinginezo nyingi.Huo ni ugonjwa wa kuvu kwa kua ushauata tumia dawa ya kutibu aina ya metalaxyl!!
Na mimi ilo tatizo lilinipata mipapai mingi imekuwa dumeIv mpapai ukiwa dume unafanyaje uubarishe il uwe jike
Shukran CORALNi vema ukatumia majina ya biashara sio ya kitaalam. Unaweza kuuliza metalaxyl hata dukani muuzaji akakwambia haipo kumbe ipo. Dawa zenye metalaxyl kama active ingredient kwa kawaida huwa pia na mancozeb. Mfano ni Ridomil Gold, Ivory 72 ( Sio Ivory 80), na nyinginezo nyingi.
Mkuu,Na mimi ilo tatizo lilinipata mipapai mingi imekuwa dume
fungia gunzi la mhindiIv mpapai ukiwa dume unafanyaje uubarishe il uwe jike
Unaweza kuupa stress kwa kuugonga na msumari au kuufunga na kitu kizito kama jiwe au gunzi la hindi. Fanya hivi pale unapoona mpapai wako una dalili ya kuwa dume inaweza kusaidia.Iv mpapai ukiwa dume unafanyaje uubarishe il uwe jike
Mipapai yenyew imeshakuwa mikubwa ndo nmegundua jins inavyozaa kwahy nifunge gundi ivyoivyofungia gunzi la mhindi
OkShukran CORAL