monakule
Member
- Sep 29, 2012
- 87
- 23
Kitengo cha mipangomiji Arusha amelala wanasubiri nini kupanga mji unaokua kwa kasi kuliko inavyotarajiwa, unakuta mji unakua hauna barabara za mtaa, maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo na masoko, hii ni hasa kuanzia kwa morombo hadi mlima ccm, nenda hadi mkono hadi nado, hakuna barabara za mtaa watu wanajenga ovyo ovyo tu kadiri anavyotaka hadi inakera *MIPANGOMIJI MNAFANYA NINI OFISINI?*